Recent content by Daniel M. Chimagu

  1. Daniel M. Chimagu

    Hiki ni Kiswahili cha wapi? Binafsi Sikikubali!

    Ni kweli neno chosha linaweza kutumika lakini halikidhi maana inayotakiwa hapa. Kitu kikikuchosha maana yake mwanzo kilikuwa sawa na hakina shida ila baada ya muda kikakuchosha. Likini mfano mechi inaweza kuanza tu na ikawa haivutii hivyo ikawa "inaboa". Neno "bore" linahusisha kukinai...
Back
Top Bottom