Recent content by Daniel kulwa Nyawayi

  1. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Naamini, Mrithi wa Kinana akiwa Dr. Bashiru Ally, CCM itakuwa imara

    Mkuu umeshajinyonga au bado?na kama bado nn ambacho unakifikiria nini !!
  2. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi DC Kinondoni anafaa kumrithi Kinana

    Kweli mkuu yaan bora kidgo yule RC wa Tanga Shigela,Hapi big No.
  3. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa msema kweli kwa wanawake

    Stry gan inaishia njian mapema hv
  4. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

    Ni kweli kbsa
  5. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, badilisha ma RC na DC wasiokwenda na kasi yako

    Haya bwana ushauri wako ni mzuri naimani ataupata.
  6. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Tanzania kazi ya Bunge ni kusimamiwa na Serikali hivi ndivyo wananchi wanapaswa kuelewa

    Elimu yko mkuu kiwango gani au umechangia bila kujua kua bunge kuisimamia serikali ni kupambnia na hayo?
  7. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Singida (CHADEMA) Jesca Kishoa Kafulila apata ajali Dodoma, hali yake ni mbaya

    Hawana uzoefu na udereva wengi wao kichwani mambo mengi anaendesha muda mwingne mawazo yako kwenye simu,thn hawajaenda veta wengi wao alama za barabarani zinawachanganya pia kutokuzijua pia hawazisomi wengi uchukulia udereva ni simple kwa kusogeza kama wa Dar wanavyoendesha pale ni kusogeza tu...
  8. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Singida (CHADEMA) Jesca Kishoa Kafulila apata ajali Dodoma, hali yake ni mbaya

    Tatizo wanajiendesha wenyewe kwa maelezo yake yanaonyesha alikua anaendesha peke yake maana kasema anasikia maumivu mguu wa kulia,ajari walikua kwenye taa baada ya taa kuruhusu wakaondoka hakujua kama gari la mbele yake linakata thn likakata ghfla akaligonga hajasema dereva kagonga kasema...
  9. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai kauli yako Bungeni ni ishara kuwa yatosha sasa!

    Kuna mbunge aliropoka pale kipindi Spika anaonge eti spika leo kahamka vizuri !!!jana kweli spika kaonyesha uspika kweli alisikika aendlee ivyo ivyo.
  10. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Historia itatoa hukumu ya haki kuhusu uongozi wangu

    So u mean aliyetamka wazazi wake hawakumlea katika maadili akashindwa kuwaita wao leo kamwita Rais maana ni mtu mzima si mtoto.
  11. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wilaya hazina wakuu wa wilaya bali zinakaimiwa. Hii imekaaje?

    Wapo wanaokaimu hadi pale watakapoteuliwa wengine ndivyo ilivyo kiutendaji,maana kuteuliwa hadi upitie taarifa za wahusika mkuu.
  12. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Historia itatoa hukumu ya haki kuhusu uongozi wangu

    Baba yako akikuita mjinga na ww kesho unamwita mwehu ?!!yule ni kiongozi na pia ni taasisi so kujielewa ni vizuri zaidi utaonekana ni tofauti na yeye akiita na wewe ukaiita mnakua ni kitu kimoja basi hakuna tofauti.
  13. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wilaya hazina wakuu wa wilaya bali zinakaimiwa. Hii imekaaje?

    Angalau umemwelewesha mkuu nilitaka kumuuliza aliteuliwa lini kwamba ni mkuu wa wilaya ya Korogwe na Handeni moja hapo amekaimu tu na hawezi itwa ni mkuu wa wilaya wa ile wilaya anayokaimu watasema kaimu mkuu wa wilaya wabongo sisi bwana
  14. Daniel kulwa Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Historia itatoa hukumu ya haki kuhusu uongozi wangu

    Si busara kuhita mtu mzima na kiongozi wa taifa eti tahaira ndo maana wanataka utambulisho wa majina sababu ya mambo kama haya unatoa tu mawazo yako kwa lughaa nzuri inapendeza zaidi.
Back
Top Bottom