Recent content by Daniel John Seni

  1. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Mene mene tekel upharsin

    Mene mene tekel upharsin definition from A Dictionary of the Bible - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mobisystems.msdict.embedded.wireless.oxford.oxfordbible Mene mene tekel upharsin Daniel interpreted these words (which were perhaps nouns for several weights or coins), which...
  2. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha miguu 22 kwa 40,Mbezi Msumi

    Chukua 10m kama kweli ni muuzaji vinginevyo utakaa sana sana
  3. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha miguu 22 kwa 40,Mbezi Msumi

    Hicho kiwanja akihitaji lakini hiyo bei 15m ni kuuubwa kwa uzoefu wangu. Chukua 10m kama kweli wewe ni muuzaji
  4. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KIWANJA

    Natafuta kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa kanisa Ukubwa kuanzia 30 ×30 Bei isizidi milioni 9 Eneo liwe ambalo halijapimwa lakini kuwepo na makazi Liwe Dar es salaam au Kibaha. Ukiwa nacho piga: 0765782288 au email senishekinah@gmail.com
  5. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    Unajua serikali inapotaka kufanya kazi kwa kujitofautisha na awamu nyingine ni taabu kweli. Siyo kumtaka radhi yaani anapaswa kulipwa kwa sababu zifuatazo:- 1. Wamemsumbua kisaikolojia maana alijiandaa kuwa mkuu wa wilaya lakini kumbe sivyo 2. Muda wa kufika pale unapaswa kulipwa 3. Usumbufu 4...
  6. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya 'kupandishwa cheo' kwa watuhumiwa wa ujambazi?

    Sasa wewe Malisa unauliza maana ya kupandishwa cheo au unalo jibu? Umetoa options kibao " kusamehewa? Kuuawa? Kutubu? Mengineyo? Lakini tayari unalo jibu la "kuuawa"sasa unafanyaje utafiti wa uelewa wetu huku una majibu ambayo yanabayasi kiasi hicho. Ungeuliza labda kipolisi kuna maana ya...
  7. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania January Makamba anaongoza mawaziri wa Magufuli kwa kufanya kazi kwa mazoea!

    Kwa nini asihimize? Jana Meya (JACOB) alitekeleza. Halafu mnamuuliza eti yuko wapi na kwa nini hajafika kwenye mkutano
  8. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Sababu za kurejesha uhusiano na Israel hazina mantiki

    Hongera ujuaye![emoji125]
  9. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Sababu za kurejesha uhusiano na Israel hazina mantiki

    Mbona hueleweki? Hoja yako hasa ni ipi sasa?
  10. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Du kweli katoa kali. Kwani hakuna kamera ya kurewind namna alivyonyang'anywa kibaragashia? Mtikisiko wa mawazo
  11. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Sababu za kurejesha uhusiano na Israel hazina mantiki

    KIHISTORIA WAPALESTINA WANA HAKI KATIKA NCHI HIYO LAKINI KIMUNGU SIYO MAHALI PAO. Kwa sababu zifuatazo:- 1. Mungu aliahidi kumpa Ibrahim nchi yao baada ya uovu wao kukamilika (Mw. 15:6ff) 2. Baada ya kufika katika ile nchi Waisrael walimkosea Mungu sana na aliwapeleka katika mataifa mbalimbali...
  12. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Dalili zinaonyesha Magufuli ni Dikteta

    BILA DICTETA MAMBO HAYAWEZI KWENDA
  13. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Dalili zinaonyesha Magufuli ni Dikteta

    Tanzania inahitaji rais dictator. Alisema kamanda tibaigana miaka ile alipostaafu.
  14. Daniel John Seni

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

    Kuna namna ya kutoa hoja ila mtoa hoja hana uzoefu huo
Back
Top Bottom