Zidane kashindwa hata kushangilia.....yaani Dani kapora mpira kasepa nao wanamkombiza beki kadhaa kapinda kona kipa katoka akaachia dochi kamba......Hatari Sana huyu MTU.......beki mbili bora kuliko wote duniani
Kinachowauma wengi wa mashabiki pinzani ni ile penat ya mwisho ila hawataki kusema.....hawakupenda Ronaldo a score a winning penalty. Inawauma Sana kwa sabab imemuongezea value yaan kiufupi ameipa ubingwa yeye....ndio maana wanajikuta wanaponda kila kitu
Pointless ..... So what? Unaweza nikumbusha mapumziko kabla ya game yalikua siku ngapi? Ndio mlivyo watanzania mnagongwa halafu mnaanza kutafuta sababu mkikosa mnatafuta mchawi nani.....kilichotokea kwako ni ajali tu...kwahyo pole Sana
ZINEDINE YAZEED ZIDANE "ZIZZOU" ;A QUITE MAN
Los Blancos, against all the odds, fought back from a mid-season meltdown to claim an historic 11th European crown and they have the calm brought by their coach to thank
He still looks fit enough to smash an over-the-shoulder volley into the top...
Kitu ambacho sijaelewa ni inakuaje unashangazwa na hilo jambo ..... Au unadhan Madrid wapo Sayar nyingine??? Yaan sijajua akili zako zina category Madrid upande UPI? Nadhani Una shida kidogo
Eti based on leagues sasa wewe unajua kuna ligi ngapi duniani? Miaka minane kombe moja ? Hujui Kama kuna timu hazijawah kabisa kuchukua? Again muwe mnafikiri......yaan jaribu kusumbua kichwa chako....usikae lazy lazy .....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.