Recent content by Daniel Chikaka

  1. Daniel Chikaka

    Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

    DIT competition ni kubwa sana. Unge apply na Mbeya & Arusha Tech
  2. Daniel Chikaka

    Car4Sale Subaru Forester for sale

    Nauza gari yangu aina ya Subaru Forester(Non turbo) ya mwaka 2011. Bei 15m. Gari ipo Dar es Salaam, haina tatizo lolote. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane: 0752357722
  3. Daniel Chikaka

    Ukweli kuhusu kuzorota kwa huduma ya M-PESA

    Hii nayo imevunja rekodi.... kama ni kweli dah!
  4. Daniel Chikaka

    Pata Website yenye hadhi ya kimataifa kwa bei POA !!

    Natengeneza website za kisasa kwa utaalamu wa kimataifa kwa bei poa kabisa. Iwe unahitaji Forum, Blog, Website ya biashara, NGO au ya binafsi hakika umefika mahali husika. Baadhi ya features utakazopata: Custom Layout - Muonekano wa kipekee [ambao wewe utapenda iwe] tofauti na websites zote...
Back
Top Bottom