Daniel Chikaka
Member
- Jun 2, 2014
- 6
- 3
Natengeneza website za kisasa kwa utaalamu wa kimataifa kwa bei poa kabisa. Iwe unahitaji Forum, Blog, Website ya biashara, NGO au ya binafsi hakika umefika mahali husika. Baadhi ya features utakazopata:
NB:
Bei zangu ziko katika makundi matatu kulingana na ukubwa wa kazi:
Gold Package - Tshs 1,500,000/=
Diamond Package - Tshs 800,000/= na
Silver Package - Tshs 300,000/=
Domain name & Hosting ni bure mwaka mzima katika packages zote.
Hata hivyo bado bei zinazungumzika na zinaweza kupanda au kushuka zaidi kulingana na kazi husika. Ukitaka kujua hasa website yako itagharimu kiasi gani nipigie 0716191356
Pia kamisheni kati ya 10% mpaka 35% [ kulingana na ukubwa wa project ] inatolewa kwa yule atakaefanikisha kupatikana kwa project
- Custom Layout - Muonekano wa kipekee [ambao wewe utapenda iwe] tofauti na websites zote Duniani [ Unique Design]
- Content Management System(CMS) - Utaweza kubadilisha chochote kile katika website wewe mwenyewe bila shida yoyote kama vile unavyotumia Microsoft Word , bila haja ya kujua programming au kuhitaji kumlipa mtu wa IT kukufanyia kazi hiyo na unaweza kufanya mabadiiko hayo kupitia kompyuta, tablet, ipad na simu yako ya mkononi!
- Responsive Website - Website yako itakua na uwezo wa kuonekana vyema katika electronic devices zote ambazo zinaweza kupata access ya Internet na browser...ie: Simu, Ipad, Tablet, Laptop / Computers. Asilimia kubwa ya watanzania wanatumia Simu, kwa nini ukose fursa kwa kushindwa kuwafikia kwa urahisi?
- Search Engine Optimization (S.E.O) - Utaweza kuonekana kwa haraka katika search engine, ndani ya top 10 results lazima biashara yako ionekane. Kua wa kwanza kutambulika na ufanye biashara na wateja wapya kila siku
- Social Media Integration - Utaweza kuunganishwa na social media zote kubwa Duniani na kuwafikia watu wengi zaidi na kwa haraka. Muunganiko huo utakuwezesha kuwapasha habari wateja / fans wa huduma zako katika mitandao yote ya kijamii kwa urahisi zaidi mara tu unapoandika habari hiyo katika website yako itaonekana social media zote!
- Website for Business - Ni na dhumuni la kua na website ni kwa ajili ya kujitangaza na kujipatia fursa zaidi na sio pambo la ofisi. Utapata huduma ya ushauri namna ya kuigeuza website yako iwe chanzo cha kukuingizia kipato pia utawekewa miundo-mbinu yote muhimu
NB:
Bei zangu ziko katika makundi matatu kulingana na ukubwa wa kazi:
Gold Package - Tshs 1,500,000/=
Diamond Package - Tshs 800,000/= na
Silver Package - Tshs 300,000/=
Domain name & Hosting ni bure mwaka mzima katika packages zote.
Hata hivyo bado bei zinazungumzika na zinaweza kupanda au kushuka zaidi kulingana na kazi husika. Ukitaka kujua hasa website yako itagharimu kiasi gani nipigie 0716191356
Pia kamisheni kati ya 10% mpaka 35% [ kulingana na ukubwa wa project ] inatolewa kwa yule atakaefanikisha kupatikana kwa project