Recent content by danida

  1. danida

    Mheshimiwa Membe, kumkumbatia Steve unajipaka kinyesi

    Kinachokuzuia kuweka nini weka huo uovu na ss tujue. Kwani mtu kutafuta passport kupelekwa dubai kuna ubaya gani. Elewa steve ni binadamu kama wengine na ana haki ya kufanya mambo yake binafsi mbali na bongo movie ana maisha yake pia achane kumnyima mtu uhuru .mfedhuli mmemwona yy tu mbona wako...
  2. danida

    Mheshimiwa Membe, kumkumbatia Steve unajipaka kinyesi

    Anasemwa kikwete itakuwa steve.ndio maana hatuendelei hatuwazi maendeleo kazi kufatilia ya watu
  3. danida

    Mheshimiwa Membe, kumkumbatia Steve unajipaka kinyesi

    Toa habari yenye ushahidi. Acha kutumiwa ww. Steve anauwezo gani wa kumfanya membe kuwa raisi tumieni akili. C mbunge wala raisi
  4. danida

    Mheshimiwa Membe, kumkumbatia Steve unajipaka kinyesi

    Huyo mtitu alikuwa wapi Cku zote acjiudhulu leo ndio ameona hayo mapungufu.majungu
  5. danida

    Mheshimiwa Membe, kumkumbatia Steve unajipaka kinyesi

    Kweli mmeishiwa kabisaa steve anaweza kumfanya membe kuwa raisi tumieni akili achane ujinga wa kutumiwa na watu kumchafua mtu. Hizo chuki binafsi
  6. danida

    Bwana Magesa akiwa na mtoto wake

    Dunia imeisha jamani. Tumrudie Mungu
Back
Top Bottom