Habari Wana JamiiForums,
Kwa yoyote ambae kawahi kufanya Mitihani ya practical baada ya kuvuka written ya IT project Management au ICT security naomba uzoefu wako juu ya practical ilikuwaje na ni maswali gani walitoa?
Natanguliza shukrani.
Hapa karibuni utumishi imekuwa ikitoa majina ya shortlisted ndani ya wiki mbili au 3 toka siku ya deadline. Ila hizi ajira za EGA zimechukua zaidi ya mwezi hata majina ya shortlisted bado hayajatoka. Vipi wanakwama wapi??
Hapa karibuni Utumishi imekuwa ikitoa majina ya shortlisted ndani ya wiki mbili au 3 toka siku ya deadline.Ila hizi ajira za EGA zimechukua zaidi ya mwezi hata majina ya shortlisted bado hayajatoka.Vipi wanakwama wapi??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.