Diamond ajafika umaarufu wa Lucas aka mr nice lkn Leo hii you wapi? Juma nature, ay, fa, jaydee, pr j, na ze like wapo kitambooo na hadi Leo media zinawazungumzia bado wana hit yani koz ni wana nidham na kazi zao ni hawaendeshwi na mihemko ya mashabiki ila sasa huyu jamaa yy anaona ataheat time...