Recent content by Damzi

  1. D

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Huo niuongo wa kutupwa. Mimi nipo dodoma hapa sijasikia kitu kama hicho acheni kumchafua kiongozi wetu ndugai.
  2. D

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Jamaaa anatisha. Anastahili kuwa naibu speaker WA Bunge la JMT
  3. D

    Ngeleja atisha kanda ya ziwa, aongoza uchaguzi serikali za mitaa, awashinda watangaza nia ya urais.

    Kijiji anachotoka NGELEJA kinaitwa BITOTO na katika kijijini hicho CCM imeshinda kwa 100%. Acheni kupotosha ukweli. Acheni kutumika vijana. Twendeni na Ngeleja. TUMAINI la Watanzania.
  4. D

    Ngeleja atisha kanda ya ziwa, aongoza uchaguzi serikali za mitaa, awashinda watangaza nia ya urais.

    NGELEJA ATISHA KANDA YA ZIWA, AWASHINDA WATANGAZA NIA WENGINE. Nianze kwa kuwafahamisha watanzania kuwa ushindi wa mgombea yeyote wa urais hapa kwetu Tanzania Utatokana na kwa kiasi gani yey anaungwa Mkono na wapiga kura wa Kanda ya ziwa. Kanda ya ziwa inahusisha mikoa ya Mwanza, Simiyu...
  5. D

    Ngeleja anastahili hili kwa uwezo wake

    Ishu ya mgawo wa Rugemalira Ngeleja aliimaliza tar 2 Machi alipotoa maelezo yake mbele ya Baraza la Maadili. Waliofuatilia wanakumbuka na vyombo vya habari viliripoti vizuri tu kwamba: mil 40 alizopewa ilikuwa ni msaada wa kawaida kama wapewavyo wabunge wengine kusaidia kutimiza wajibu wao wa...
  6. D

    Ngeleja anastahili hili kwa uwezo wake

    Ngeleja anastali kuongoza nchi, kwanza hakurupuki anapoamua kufanya maamuzi. Ni mtu makini sana. Jambo moja muhimu ambalo napenda kuwakumbusha wanatanzania na wazalendo wenzangu kuhusu Ngeleja ni kwamba Ngeleja ndiye aliyeasisi mradi wa bomba la gesi kutoka mtwara mpaka dar es salaam na hatimaye...
  7. D

    Mwigulu, Nchimbi na Makamba Wavurugana; Magufuli kujiunga na kundi hilo la Vijana

    Ocampo unatumika vibaya sana. Hayo uliyoyaandika ni uongo mtupu na umeandika baada ya kuona Ngeleja, Magufuli na Nchimbi ni threat kwa Mgombea wako, Mzee Lowasa.
  8. D

    Ngeleja chaguo la Watanzania, Lowassa chaguo la CHADEMA

    Jamaa yupo vizuri Anafaa kuwa rais.
  9. D

    Ngeleja chaguo la Watanzania, Lowassa chaguo la CHADEMA

    Ni kweli Ngeleja Ni kijana mwenye uwezo wa kudeliver vitu vikaonekana. Ni huyu huyu Ngeleja alianzisha mchakato wa ReA ambao kwa sasa umeme vijijini Ni zaidi 36% kutoka 12% ya awali. Kunaambo mengi ambayo kijana huyu ameyafanya kwa hakika anastahili kuongoza nchi 2015.
  10. D

    Ngeleja aipeleka tanzania kwenye uchumi wa kati 2020

    Willium Mganga Ngeleja ndiye aliyeasisi mradi wa bomba la gesi la Mtwara-Dar, Mradi ulioasisiwa mwaka 2009, utekelezaji ukaanza mapema 2012. Kipindi hicho Ngeleja alikuwa Waziri wa Nishati na Madini. Ngeleja aliasisi mradi wa gesi ili kuivusha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi maskini na kuingia...
  11. D

    Ngeleja aongoza tafiti kwenye media - Urais upande wa vijana

    Rock unaota mchana kweupe??? Kama hulifahamu jambo kaa kimya na tena funga bakuli. Sawa!!!
  12. D

    Ngeleja aongoza tafiti kwenye media - Urais upande wa vijana

    Sishangai kuona Ngeleja anaongoza miongoni mwa vijana wanaotaka urais. Kwanza Ngeleja ana legacy nzuri kiuongozi ukilinganisha na vijana wengine. Pia rais lazima atokane na baraza la mawaziri au mwenye legacy hiyo, cioni kijana yeyote zaidi ya Ngeleja na nchimbi. Naunga mkono matokeo ya utafiti...
  13. D

    Ni kujindaganya kusema CHADEMA ni chama cha ukombozi, nao ni wasakatonge tu...

    Chadema Ni kajisaccoss Fulani kwa ajili ya wakubwa kulamba mpunga.
  14. D

    Asante sana Ngeleja

    Kati ya vijana walioonesha nia yankuhombea urais hakuna anayemfikia ngeleja kwa legacy nzuri. Yapo mabayabmachache aliyoyafanya lakini mazuri Ni mengi. Tuyachukue hayo mazuri twende ni naye 2015. Ni kijana shupavu na mwenye uwezo WA kufanya kazi ikaonekana.
Back
Top Bottom