Unyonge ni hali na kila mtu huwa anajisikia unyonge kwa namna yoyote ile sema kikubwa ni kupambana kuepukana na unyonge ambao wachache sana hufanikiwa kivyao lakini ni ukweli usio pingika kuwa kuna watu bila kuwasaidia kwa upole na huruma wataendelea kubaki kuwa wanyonge maisha yao yote
Na kuna...
We nae umetoka wapi hii nchi wanyonge ni wengi sana na kila nchi tu hili kundi lipo lazima watetewe kulikana ni sawasawa na kulifumbia macho tu tena kwa nchi hii ya tz wanyonge ni wengi sana
Huko takukuru kwenye ni ulinzi na usalama tosha wa nchi tena hao wanapaswa kuwa hapo maana kuna watu wanaweza kuiweka nchi mfuko kama wakiachiwa huru tu kutumia mapesa yao
Acha mambo yako wewe daktari wa kijeshi anapiga combat na anaingia hospitali sembuse huyo kwanza kwa kazi kama iyo ilipaswa ifanywe na watu kama hawa hata kumpa rushwa tu mwenyewe unajistukia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.