Recent content by damian sissi tippe

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    mbona jina la Nape halipo?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    bona sijaona jina la NAPE hata kwenye mapendekezo ya mawaziri?
  3. D

    JamiiForums Tanzania System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    hatubadiliki na hatudanganyiki -mnataka twega ziendelee.
  4. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA kutokuhudhuria katika misiba ya viongozi wa siasa

    Aliogopa polisi watamsuia
  5. D

    JamiiForums Tanzania Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

    Utakuwa ni utfiti uliofanywa na TWAWEZA
  6. D

    JamiiForums Tanzania Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

    kwani bado mnaangalia star tv
  7. D

    JamiiForums Tanzania China isingemchelewesha Lowassa

    ingekuwa marekani angefungwa,lakini kwa vile aliogopwa na serikali sisi tutaiadibu serikali ya ccm kwa kutumia huyu mfisadi mnayemtamka tu lakini mnaogopa kumshtaki.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Usombaji watu wakera makatibu

    malofa wanaendelea kubebwa na malori. Malofa bado wako wengi tanzania hii tujitahidi kuwaelimisha watapungua hata kuisha kabisa siku 18 ni nyingi.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    Hizo species ni za nchi gani au mbuga gani .na kwa hiyo unasema hizo picha siyo za loliondo,
  10. D

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

    Mwaka huu TOT watawaimbia CCM Nyuma kwa nyuma Badala ya mbele kwa mbele .
  11. D

    JamiiForums Tanzania Bundi ametua rasmi Mtaa wa Lumumba usiku huu

    Ccm esrow ,twiga kupanda ndege, kuchakachua katiba mpya,meno ya tembo navingine vingi vitawamaliza wanfikiri wananchi hawa jui kinachofayika bungeni kutetea katiba iliyochakachuliwa ,wananchi siyo malofa kama mnavyodhani nyie ,mafuso tutapanda tutawasikilisa lakini hatutawachagua.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Bundi ametua rasmi Mtaa wa Lumumba usiku huu

    Karibuni kwanza wanachelewa.wanakaa kwanza vikao vya nini kuhama chama ni haki yangu ,nikiona sikubaliani na sera ya ccm siwezi kujilazimisha nipate stress za bure.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

    Ngoja muaibike kama kenya na Nigera ,walitoa tafiti zao za uongo baadaye waliumbuka mbona.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

    ngoja na mimi nitoe majibu ya tafiti zangu kesho inayompaisha mzee lowasa
  15. D

    JamiiForums Tanzania Sentensi 11 zilizotolewa na Freeman Mbowe kwenye Baraza la Idd

    Hizi tafiti feki zilishaanza kuonyesha mambo wanayotaka kufanya ,ili baadaye wawaaminishe watanzania kwamba hata tafiti zilishaonyesha.Hela ya TANESCO zimeenda wapi -au kwenye kampeni za ccm?Maofisi usalama wa taifa wa nini sasa kwenye tume ya uchaguzi? au nao wameshaanza kuwa maofisa usalama wa...
Back
Top Bottom