Hicho kikaragosi cha pili ndio kile kinachoitwa Ostrich syndrome, ikimaanisha kuwa kwa kuficha kichwa chini ya ardhi basi watu au wanyama wengine hawamuoni. Wenye kuelewa wantaelewa maana ya kikaragosi hicho
Kwa maelezo yaliyotolewa, inawezekana mtoto Shuku alingátwa na nyoka aitwaye Puff adder au kifutu ambaye sumu yake inauwa chembehai mwilini na kufanya mwili ubadilike rangi. Kwa maoni yangu sioni kuwa kuna uchawi hapo, kwani mtoto huyo kaenda porini wanapoishi nyoka na uwepo wa ndege...
Namba za magari ni mpangilio wa kuweza kutambua magari kwa sababu za usalama barabarani na kwenye matukio tofauti.Serikali na idara husika huweza kubadilisha mfumo wa namba za magari.
Kwa mfano wale tulio "wahenga"magari ya serikali yalikuwa na plate number inayoanzia na GT ikimaanisha...
U.S. firm seeks $561 million from Tanzania in power supply dispute
Fumbuka Ng'wanakilala
3 MIN READ
DAR ES SALAAM (Reuters) - Symbion Power is seeking $561 million from Tanzania’s state power supplier TANESCO via international mediation, accusing it of breach of contract, the U.S. firm said on...
Haina mkuu, anatomy ni kama jiografia ya mwili, yaani ufahamu wa mpangilio wa misuli, mifupa, mishipa ya damu na fahamu, viungo na organs ndani ya mwili wakati biochemistry ni ufahamu wa kemikali ndani ya mwili na jinsi zinavyofanya kazi ndani ya mwili.
Naona mleta mada facts zake hazipo sahihi, Prof. Mtui ni professor wa anatomy ni mmoja wa walimu wakongwe wa anatomy Muhimbili, wakati huo safu ya anatomy wakiwepo Prof. Karashani, Kaduri na Magori.
Wana JF, heshima kwenu wote,
Imekuwa 'fashion' siku hizi kuona watu wengi kupenda kula nyama iliyosindikwa haswa kwa wale ambao wana kipato kinono au hali yao kiuchumi haijayumba.
Nyama iliyosindikwa (processed meat) ni nyama ambayo imeongezwa kemikali ili iweze kukaa muda mrefu kwenye shelf...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.