Recent content by Damas Magesa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tenda ya kufundisha elimu ya kujitegemea

    Sawa mkuu nitajitahidi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuunga internet kutumia cable

    Ebu niambie una devices gani? na umekwama wapi? by cable una maanisha LAN, si ndiyo?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kuipata software hii: VerbAce Pro

    ok, ngoja niifanyie kazi na nitarudi kwako tena
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kuipata software hii: VerbAce Pro

    Nina uwezo wa kupata crack mkuu. Sasa sijui utachangia ofisi kidogo? kwasababu kuna time consuming.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtengeza tovuti mzuri kwa BEI NAFUU

    Ni bora ukasema tovuti yako inakuwa inafanya mambo gani, ili tujue ni standard gani ya web inakufaa. Ebu angalia hii niliyo idisigne kwa ajili ya info za hii NGO www.chitz.org Hiyo ni ya gharama nafuu kabisa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tenda ya kufundisha elimu ya kujitegemea

    Si tuko Dar es salaam kinondoni. sijui tutafanyaje? Ninyi hamna tawi huku Dar es salaam?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutumia screen touch

    Nafikiri kama yapo ni madogo sana. Kwasababu mkono au kidole chako ndo kinakuwa kama mouse. Na what happens in mouse click ni execution of command which is electronic automotion.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tenda ya kufundisha elimu ya kujitegemea

    Mimi nina kampuni yangu ambayo ina husu mambo ya IT, ndo kwanza tunaanza. Tunahitaji soko la program zetu tulizo design. Je, tunaweza kupata ushauri au tunaweza kufanya kazi pamoja kutafuta masoko?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: HP laptop ina matatizo haya

    Poa ndugu yangu tupo mzee. Karibu ofisini
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

    Ongera sana. Ukiikamilisha basi ni muhumu kusikiliza ushauri wa jamaa wanaosisitiza umuhimu wa people interaction. Ongea na watu wakusaidie ku convince watu wajoin, ili vitu kama advertisement na mengine viweze ku run smoothly as JF are doing.....
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: HP laptop ina matatizo haya

    Kaka josby. Ni lazima tuicheki kwanza. Inawezekana keyboard nayo inatakiwa kubadilishwa. Ofisi zetu ziko kinondoni mitaa ya manyanya. Ni vigumu kutoa tathmini bila kuiona na kuangalia vitu hivyo vinavyorespond
  12. D

    JamiiForums Tanzania Karibu DintelEditor

    Tunatengeneza computer aina zote, tuna nunua na kuuza pc na Laptop, Tunadesign software including Database, website, Blog etc Tunafanya web hosting na Domain name registration, networking etc Vile vile tunatoa mafunzo ya computer kwa course ndogo na kubwa. Tunatoa vyeti(VETA SATISFIED). Piga...
Back
Top Bottom