Recent content by DAMAS AMEDEUS

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    jamani wana jamii forums vip,,, kwani walishaiita watu kwenye usaili?? samahan naombeni jibu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Aliye na Updates kuhusu JWTZ atujuze

    bado mie naona mnaongea bila kuelewa chochote! ukweli ni kwamaba nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania bado sana! hazijatangazwa na wala hatujui lini kwasababu tok amwezi wa nane watu wanazungumza uongo tuu! huenda mwaka hu wasichukue mtaani moja kwa moja labda kupitia jkt...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujiunga na JWTZ

    poa mkuu, ni kweli nitafanya hivyo:A S-key:
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujiunga na JWTZ

    Habari za jioni wanajamii forums! nimefatlia maelezo yenu hapo juu wengine wanakatisha tamaa!!!!!! na wengine wanatia moyo,, ila kiukweli tunazihitaji sana!!!!!! tafadhaali naomba tuzidi kujuzana pindi zitakapotangazwa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    hongera na tunashukuru kwa ushauri mzuri sana!
  6. D

    JamiiForums Tanzania TRA ONline job application

    wanajamii forums hiyo mada nimeifatilia lakini cjaelewa hiyo on line application ya tra ipo vip!!!!!!!!!! pls nipeni details nami niapplyb pls! au information ipo wap zaid??
  7. D

    JamiiForums Tanzania TRA ONline job application

    wanajamii forums hiyo mada nimeifatilia lakini cjaelewa hiyo on line application ya tra ipo vip!!!!!!!!!! pls nipeni details nami niapplyb pls! au information ipo wap zaid??
  8. D

    JamiiForums Tanzania Any information about jwtz or jkt on joining process this year

    ndugu zangu kwanza niwasalimu, habari zenu! mbona wapo maofisa wengine wako jeshini wanasema nafasi zipo na zitatoka???
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mkapa: Wapinzani bado ni wachanga kuwapa Ikulu!

    eti alikua rais,eti ni mtu walemuweka watanzania kuiongoza nchi,,?? watanzania wa enzi hizo sasa hawapo tena wameshabadilika sana, wew ni kama nani Mkapa unazungumza hayo? fisadi ulieiweka nchi pabaya mpaka tunaonja joto la jiwe kwa sababu yako? watanzania wote kwa ujumla wo ndio wanajua nani...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

    R.I.P askari wetu jaman.. japo haijajulikana ni wangapi lakini ni kweli kuna alieuawa au waliouawa! hivyo sote kwa pamoja tunasikitika sana kuyasikia hayo maafa.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na JWTZ kwa proffessionals

    OK, naomba tuzidi kupeana taarifa jaman :boxing:
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na JWTZ kwa proffessionals

    ASANTE SANA NA JE HUKO JKT KUNA TARATIBU ZA KUJIUNGA NA JW?? :angry:
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kujiunga na JWTZ kwa proffessionals

    jaman lini nafasi zinatoka? au yeyote mwenye mawazo yeyote atuhabirishe please!....
  14. D

    JamiiForums Tanzania hello

    am a new member, i have been interested with your trends and the way you discuss your matters. i am so happy to be among you! thanks
Back
Top Bottom