Kupitia mitandao ya kijamii,kumekuwepo na chapisho linalodai kuwa Mogaj Kibabage, anayedaiwa kuwa kaka wa mchezaji wa Simba SC, Nickson Kibabage, ambaye anahudumu katika Jeshi la Marekani amepandishwa cheo kutoka Koplo (Corporal) hadi Sajenti (Sergeant) baada ya kufaulu kozi maalumu ya kijeshi...
Kwa kutumia ufuatiliji wa Google Reverse Image Search umebaini kuwa picha hiyo haimuoneshi Rais wa Papua New Guinea. Badala yake, inaonyesha kiongozi kutoka Papua New Guinea aliyeshiriki katika jukwaa la Umoja wa Mataifa
Ufuatiliaji zaidi umebainisha kuwa mjumbe huyo alkuwa anaitwa , Ngalum...
Katika ulimwengu wa sasa unaotawaliwa zaidi na teknolojia ya kidijitali, upatikanaji wa taarifa umekuwa rahisi zaidi kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari (mainstream media).
Hata hivyo, kutokana na ukuaji wa teknolojia na kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijamii, majukwaa...
Kumekuwepo na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Kiongozi wa Baraza la Urais la Mpito la Haiti, Edgard Leblanc Fils, hivi karibuni amezua gumzo wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), baada ya kunywa maji kwa kutumia jagi na kaucha kutumia glass kama ilivyo...
Kupitia majukwaa ya kijamii kuna chapisho linalodai kuwa rais wa sasa wa uganda yoweri kaguta museveni ametoa nukuu kuwa muhoozi kama unataka uraisi 2031 na yeye akake msituni hakuna uraisi wa bure
Nukuu hiyo ya chapisho imesambzwa kupitia mitandao ya kijamii nchini tanzania.
Je ni upi uhalisia...
Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwepo na chapisho linalodai kuwa matumzi wa wali mweupe yana hatari zaidi kuliko soda kwenye maambukizi ya kisuakari
Je ? ni upi uhalisia wa chapisho hilo linalodai kusambzwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania.
kumekuwa na chapisho linalodai kuwa rais na mfadhili wa mighty wanderers fc, dkt. thomson mpinganjira, amejiuzulu nyadhifa zake ndani ya klabu hiyo baada ya kukerwa na kiwango cha timu katika mchezo wa ligi ya mabingwa afrika dhidi ya simba sc.
Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania likidai kuwa “The Financial Council has approved a new income system” inayofanya fanya kazi na NMB Bank Plc pamoja na Serikali ya Tanzania. Chapisho hilo linawataja Rais Samia Suluhu Hassan, Mohammed Dewji na Mwigulu...
Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu kutoa salamu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir.
Kumekuwa na video zinazosambazwa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa kumefanyika maandamano nchini Kenya kupinga hatua ya Serikali ya kuwaondoa wageni wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo nchini humo.
There has been a video circulating on social media claiming that President Vladimir Putin of Russia has congratulated Ibrahim Traore for completely cutting ties with France yesterday,,, Putin has said that France will automatically collapse if five more West African countries decide to cut ties...
There have been viral posts claiming that Botswana President Advocate Duma Boko has apologized to citizens who were unhappy with his decision to attend the inauguration of Zambian President Hakainde Hichilema.
It further alleges that President Boko said his attendance was strictly aimed at...
Kumekuwepo na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram na Facebook, ikionyesha baadhi ya watu wakidaiwa kuandaa chapati kwa kutumia miguu. Katika video hiyo, watu hao wanaonekana wakikanda unga wa ngano kwa kutumia miguu yao.
Moani ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya...
Kumekuwepo na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuonyesha raia wakimwagia maji magari ya polisi. Hata hivyo, kichwa cha habari kilichoambatanishwa na video hiyo kinapotosha uhalisia wa tukio.
Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza kuwa video hiyo ilirekodiwa...
Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likiwa na nukuu inayodai kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeingia katika mazungumzo na Serikali kwa lengo la kuangalia namna ya kuanza mchakato wa maridhiano, hatua inayolenga kujenga Tanzania yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.