Recent content by daleboi99

  1. D

    Msaada: Kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa kuajiriwa au kujiajiri?

    Kaka Umeongea uhalisia sana yaan wengine toka tumalize engineer diploma atuna hata pakujichomeka mkuu ata sielew niombe mkopo nirudi bachelor au niendelee kukaza kitaa dah
  2. D

    Civil Engineering UDSM

    Kaka unachoongea kina ukweli ata sisi uku wa umeme Kuna vitu hutakaa ufundishwe yaan intro usipojiongeza umeenda
  3. D

    Inawezekana kubadili chuko kutoka cha binafsi kuwa cha umma?

    Ivi inakuaje mtu unapply chuo kinaitwa St. Joseph then ukiingia unapelekwa institute unaitwa MARY IMMACULATE INSTITUTE OF TECHNOLOGY is this fair jaman vijana baadhi tunapata changamoto kubwa juu ya hiki chuo mwenye ufahamu juu ya suala hili aniambie. Hawa wahindi they are too much kwakweliiii...
  4. D

    Soko la Network Engineering Tanzania

    Mimi kijana nimemaliza kidato cha nne nlikua naomba ushauri wenu nataka nianze kupiga diploma in INDUSTRIAL ENGINEERING naomba kuuliza hii field ipo vizuri au ndo michosho pia kwa ataeweza nishauri juu ya kozi hizi mbili ipi ipo vizuri kwa upande wa ajira saiv ELECTRICAL AND ELECTRONICS au...
Back
Top Bottom