Recent content by Dalberg

  1. D

    JamiiForums Tanzania Movies za vichekesho unazopendekeza mtu aangalie

    "Mind your language" very nice
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vhs to dvds conversion

    Sikumbuki mtaa vizuri, but ukiwa mtaa wa msimbazi kuelekea police station, unahesabu kama mitaa miwili kushoto halafu unakatisha kwenda kukutana na aggrey street. Ukifika maeneo hayo ulizia Tesha, wengi wenye maduka wanamfahamu. Hata Mimi nilielekezwa kwa style hiyo.. So try
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vhs to dvds conversion

    Nenda pale Kariakoo mtaa wa Agrey, kuna jamaa mmoja anaitwa Tesha anauza radio, TV, na ni fundi electronics, ukiulizia hilo jina atakusaidia. Nilikua na namba yake,but nimeshapoteza..
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vhs to dvds conversion

    Uni PM nimeshapata mtu ikiwa bado unahitaji@ Pemgtoonet.com
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

    Halaaa, tuwalambe haooo
  6. D

    JamiiForums Tanzania Vision Tanzania: Dr. Slaa Atembelea Shirika la Umeme Marekani

    Safiiiii
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vhs to dvds conversion

    Hello wadau wote wa JF, napenda kufahamu ni wapi hapa Dar ninaweza ku-change ile mikanda ya Matofali (VHS) kuwa DVDs? ninaomba msaada kujuzwa kwa yeyote yule mwenye kufanya hiyo kazi au kama una-fahamu popote uniambie, ninashehena kubwa nataka kuichange. Pia ikiwa unafahamu bei ya ku-change VHS...
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Na hamu yakungonolewa leo

    L0000!
Back
Top Bottom