Recent content by dalbega

  1. D

    Mchungaji KKKT: Walio upande wa Rais Magufuli ni wengi sana kuliko wachache sana walio kinyume naye

    Acha kurukia usiyoyajua mpendwa. Niko ibadani hapa Kimara. Bwana Yesu ananihudumia. Kuna umati mkubwa wa watu hapa. Yesu anawagusa. Yeye ni mwema. Unamjua? Mtafute. Acha maneno yasiyo na maana. Utasusa wewe. Shauri yako. Pole sana
  2. D

    Mchungaji KKKT: Walio upande wa Rais Magufuli ni wengi sana kuliko wachache sana walio kinyume naye

    Wewe mleta uzi unatumiwa na shetani. Kimara kuna kazi kubwa zinazofanyika. Ambazo ni mfano wa kuigwa. Mbona hujazisema hizo? Alafu nyuma yako umefuatwa na kundi kubwa la watu wenye mawazo hasi, waliokwama. Wanakufuata kama nyumbu. Shauri yenu. Chongeni sana. Sisi tunamtukuza Mungu alie hai...
  3. D

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Yes. Ziuzwe. Kitu kizuri ni sharti kigharamiwe. Tunaomba CDs please
  4. D

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu JembeNaNyundo asante kwa tahadhari unayotoa. Ni kweli inapaswa kwenda kwa tahadhari sana. Ila naomba nikuulize kwa nia njema tu. Unaposema si kila raia unamaanisha nini Kwa nia njema tu. Unaposema si kila raia kwa kweli sijakupata. Manake ninavyoelewa mimi mtu yoyote akijifunza chochote...
  5. D

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Wazo zuri. Hasa kutengeneza CDs na kuziuza. Tutazinunua ONTARIO
  6. D

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario asante sana. Nasubiri hiyo opportunity ya kujifunza. Hata kama isingekuwa free I would be willing to pay. Again thanks. Waiting for more information.
  7. D

    Solar drier/ kaushio la mboga linalotumia mwanga wa jua

    Salam wanajamvi. Tafadhali naomba mawasiliano ya fundi anaetengeneza kaushio la mboga linalotumia mwanga wa jua. Asanteni.
  8. D

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Wataalam nashukuru sana kwa ushauri wenu mzuri. Kuna udongo ambao unaitwa diatomite. Unafaa sana kudhibiti wadudu kwenye mazao. Ni udongo ambao una vichembechembe vidogo vidogo ambavyo huingia kwenye mwili wa mdudu na kumchana. Faida kubwa za diatomite ni kama tatu: - Unafanya kazi vizuri na...
  9. D

    Acheni kulima miwa ya mafuta, limeni chakula!

    Salam wanajamvi. Naomba ushauri wa kilimo cha miwa. Niko Dar, na ninafikiri kufanya kilimo hicho Bagamoyo au Kigamboni. Maji ya kumwagilia yatakuwepo: - Mbinu za kilimo bora cha miwa - Makadirio ya uzalishaji kwa ekari - Mbegu nzuri ya miwa (laini na inayokomaa kwa muda mfupi) inapatikana wapi...
  10. D

    Kilimo cha Uyoga chatoa ajira kwa akinamama Boko, Bunju

    Nimepata namba ya simu ya wataalam wa kilimo cha uyoga. Hii hapa. 0716508848
  11. D

    Mabanda ya nguruwe

    Ninahitaji mabanda ya nguruwe ya kukodisha. Mwenye mabanda au information tafadhali tuwasiliane. Yawe Dar es Salaam. 0758830045
  12. D

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Salam. Ninahitaji vitini vya mazao yafuatayo: kilimo cha mapapai, pilipili hoho, miwa, nyanya, pilipili mbuzi. Tafadhali nifahamishe kama vipo na gharama zake. Ninataka kuvinunua kwa pamoja. Aidha, ninaomba kujua kama nikishalima mtaweza kuniunganisha na masoko. Asante
Back
Top Bottom