Recent content by Dalawa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Nafikiri wao wanalenga kwamba uombee ajira ile sifa uliyonayo kwa wakati huo...hizi za chini ulizopitia zinakuwa ni sawa na added advantage na kunogesha CV
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Concern y'ako ni Ipi? Mbona kama maelezo y'ako hayajajitosheleza? Kila Kazi c unaomba kutokana na vigezo na masharti vilivyobainishwa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Shida kubwa iliyopo katika Zama hizi ni kwamba usalama wa Taifa waliopewa jukumu la kulinda nchi na wenyewe siku hizi CYO wazalendo tena wanatafuta utajiri...thus why mambo hayaendi kila sehemu Hali ni tete....... Tuzidishe maombi Ili Mungu mwenyewe ndio awe mlinzi wetu mkuu na wa pekee....
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya tume ya Haki jinai yasisimamiwe na hawa wazee; umri umeenda wanahitaji kupumzika. Kazi hii wapewe vijana ni ngumu sana.

    Ni sahihi. Na kuna mambo mengine magumu kutekeleza hata iweje....hasa yake yanayotoa Faida KWa watawala...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya tume ya Haki jinai yasisimamiwe na hawa wazee; umri umeenda wanahitaji kupumzika. Kazi hii wapewe vijana ni ngumu sana.

    Wazo ni zuri lakini hili Jambo linahitaji busara Sana na wazee wameona na kupitia mengi kwahiyo wapo katika nafasi nzuri ya kuona penye mapungufu na kushauri. Cha msingi ni kufanyia Kazi ushauri na mapendekezo kama ni mazuri tusiangalie yametolewa na nani au wakina nani.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Lissu atuhumu wabunge kuhongwa, waandishi walipewa 6m na DP World

    Umetisha😀🎤
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatengenezewa shida/ugumu ili asigombee 2025?

    Kwahiyo shida Sana ameshafika.....
  8. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili

    Ni habari njema na hatua nzuri... Ingawa ufaulu unatakiwa kuwa kigezo cha kwanza then uwezo wa mtu uwe kigezo kinachofuata..........
  9. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima( Mbunge) amtaka RC Makalla aache maneno matupu Wananchi wanaitaka kuona Panyaroad wanadhibitiwa, haya yanatokea RC akiwa huyu huyu!

    Jibu hoja yake... U simuatack yeye kama Gwajima... Hoja uwa inajibiwa KWa hoja.
Back
Top Bottom