Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi Mmoja kwa dalali ( 250,000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Vyumba viwili vya kulala, Sebule, choo ndani cha public, na Jiko ndani.
Ndani ya fensi geti, Umeme luku yake, Maji dawasa masaa 24 Kuchangia bill...