Recent content by dajari

  1. dajari

    Jamhuri kuleta mashahidi watano kesi ya Nondo

    Leo tarehe 10 April 2018 Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) na Mwanafunzi wa UDSM Abdul Nondo amefika mahakama ya Wilaya ya Iringa kwaajili ya kusikiliza maelezo ya awali kuhusu kesi inayomkabili. Akisoma mashtaka Upande wa Jamhuri Wakili wa Serikali Abel Mwandalamo amesema...
  2. dajari

    Jirani yangu simwelewi

    nafikiri hapo unaweza mweleza ukweli ili usibaki na dukuduku na kubaki free soul
  3. dajari

    Kuelekea 2020: Edward Lowassa, aanza Kuimarisha CHADEMA kuanzia chini

    hiyo ni nzuri kwasababu ana moyo huo kuwasaidia wananchi toka mda mrefu
Back
Top Bottom