Nimefuatilia sana ziara za Makonda. Nilichogundua ni kwamba, ukiachilia mbali siasa lakini kwa zaidi ya 75% Makonda anafanana sana na JPM.
Anafanana katika kusikiliza kero za Watanzania na kuzitafutia ufumbuzi wa papo kwa papo. Lakini pia anakemea uzembe unaofanywa na watumishi wa umma.
Kwa...
Tangu tuondokewe na Mtumishi wa Mungu, kipenzi cha Watanzania, bado Tanzania haijapata kiongozi wa kuiongoza.
Lakini Mungu ni mkubwa. Kwa muda wake atatuletea kiongozi anayefaa kuiongoza Nchi hii. Mungu mkubwa.
Afadhali sense tu huko. Akirudi tutarajie Tume huru ya Uchaguzi inaanza mchakato, DP World nao wanapigwa chini.
Huko anakwenda kukalia kuti kavu kwa Boss wa Marais wote Duniani.
Hongera sana mh. Paul Makonda. Ungekuwa na mamlaka ya juu zaidi, kukatika kwa umeme kusingekuwepo, ubabaisha katika kazi za umma usingekuwepo kama ilivyokuwa wakati wa JPM.
Mungu azidi kukupa nguvu na kukulinda.
Nimepita katika Ofisi kadhaa za umma ikiwemo Hospitalini. Nimekuta watumishi wa umma katika Ofisi hizo wakiogopa sana ujio wa Makonda kama ilivyokuwa wakati wa JPM. Nimekuta wengi wakijiweka sawa kwa kuandaa mazingira yao ya kazi vizuri kwa kuhofia kutumbuliwa.
Najiuliza, Makonda ni JPM mwingine?
Kwa kifupi kabisa, Mama amepoteza kabisa mwelekeo. Shida yake kubwa ni kukaribisha MAJOKA chumbani. JPM aliyafukuza MAJOKA yoye na hakutaka kuyapa nafasi kabisa, lakini mama alipopata tu nafasi hiyo akayatafuta MAJOKA yote popote yalipokuwa na kuyasogeza miguuni pake. Sasa yanalitafuna Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.