Recent content by Daimler

  1. Daimler

    Zitto Kabwe amvua uongozi Katibu wa Wanawake, Ester Kyamba kwa kuhoji uhalali wa Dorothy Semu kukaimu kwa muda mrefu kiti cha Katibu Mkuu wa ACT

    Wanatupigia kelele kila siku, ohhh sijui Magufuli ni dikteta, haya ona sasa, ndio hayo ya mchawi mpe mwanao akulele, dah!! Ukitaka kujua tabia ya binadamu mpe madaraka tu, simpo.
  2. Daimler

    Zitto Kabwe amvua uongozi Katibu wa Wanawake, Ester Kyamba kwa kuhoji uhalali wa Dorothy Semu kukaimu kwa muda mrefu kiti cha Katibu Mkuu wa ACT

    Taarifa ingetoka Tanzania Daima ama Mtanzania, ungehoji ama ndiyo ya nyani kutoona ...?
  3. Daimler

    Zitto Kabwe amvua uongozi Katibu wa Wanawake, Ester Kyamba kwa kuhoji uhalali wa Dorothy Semu kukaimu kwa muda mrefu kiti cha Katibu Mkuu wa ACT

    Mbona walimuuliza hata Msemaji wa Chama hicho Abdallah Hamis akashindwa kujibu? Unahitaji nani aiongelee tena?
  4. Daimler

    Majeshi ya Tanzania kuungana na majirani wa EAC katika Mazoezi ya kijeshi mkoani Tanga. Wageni 1,500 kushiriki kuanzia Novemba 5-21,2018.

    Katika Habari ya Saa ya ITV, iliyorushwa saa 6 mchana, imemnukuu Mkuu wa Utendaji Kivita na Mafunzo wa JWTZ, Meja Jenerali Alfred Kapinga akitoa ratiba ya Mazoezi ya Pamoja ya Kijeshi ya Nchi za Afrika Mashariki, ambapo alieleza kuwa, yanatarajiwa kufanyika mkoani Tanga kuanzia Novemba 5-21...
  5. Daimler

    Zitto Kabwe amvua uongozi Katibu wa Wanawake, Ester Kyamba kwa kuhoji uhalali wa Dorothy Semu kukaimu kwa muda mrefu kiti cha Katibu Mkuu wa ACT

    Ipi haijafika mzee? Mbona sijakuelewa, kwani leo tarehe ngapi na tarehe iliyoandikwa ni ngapi?
  6. Daimler

    Zitto Kabwe amvua uongozi Katibu wa Wanawake, Ester Kyamba kwa kuhoji uhalali wa Dorothy Semu kukaimu kwa muda mrefu kiti cha Katibu Mkuu wa ACT

    Aliyekuwa Katibu wa Ngome ya Wanawake wa ACT, Ester Kyamba Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe mna o tarehe 28.10.2018, anadaiwa kumvua uongozi, Katibu wa Ngome ya Wanawake wa ACT-Wazalendo, Ester Kyamba kwa madai ya kuhoji uhalali wa Dorothy Semu kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa...
  7. Daimler

    Hatimaye Makontena ya Makonda yagawiwa Mikoa ya Songwe, Katavi, Geita, Lindi na Mtwara. Dar waambulia patupu kwa kuwa hawakuomba.

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeyagawa ‘kimya kimya’ makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yaliyokuwa yakishikiliwa na mamlaka hiyo. Septemba 5, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa mamlaka hiyo, Richard Kayombo alieleza kuwa iwapo uamuzi wa kuyagawa...
  8. Daimler

    Polepole: Tumeamua mwisho wa kupokea Wabunge na Madiwani iwe Novemba 15, 2018

    Gazeti la Mwananchi limejichanganya katika taarifa yake iliyopo Front Page baada ya kudai kuwa, Kamati Kuu ya CCM, imetoa siku 46 hadi Disemba 15 kwa Wabunge na madiwani wa Upinzani wanaotaka kuhamia CCM. Hata hivyo, katika Video iliyotolewa na Katibu Mwenezi, Humphrey Polepole, imeeleza kuwa...
  9. Daimler

    Demokrasia na maendeleo: Tusipotoshe ushahidi wa kisayansi

    Hakuna Nchi yoyote duniani (zaidi ya City States) iliyowahi kuendelea kwa sababu ya kukumbatia demokrasia, isipokuwa kinyume chake. Hakuna Nchi yoyote duniani iliyoshindwa kuingia kwenye demokrasia baada ya ku-undergo maendeleo ya kiuchumi, full stop.
  10. Daimler

    Chato: CHADEMA yashinda wenyeviti wa vijiji Chato Mjini

    Kwa hiyo hii inadhihirisha wazi kuwa, Uchaguzi huwa huru na wa haki, ndiyo maana wa CHADEMA walishinda kama ambavyo wa CCM wamekuwa wakishinda.
  11. Daimler

    Jamhuri juu ya Microchip: Nimeziona Diplomatic Cable zilizotumwa siku mbili tangu Mo kutekwa. Si muda tutaanza kuona wakikamatwa wanaposafiri nje

    Uko sawa kabisa. Hao jamaa wanfesumbukia vitukio vya namna hiyo tungekuwa tukiona Wamarekani na Wazungu, pamoja na Waarabu ndio wakikamatwa kila siku. Unfortunately, ICC inawa-deal sana Waafrika coz imebase kwenye uhalifu wenye motives za kisiasa zaidi.
Back
Top Bottom