Recent content by DAGAA WA MWANZA

  1. DAGAA WA MWANZA

    House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Huyu jamaa anajenga nyumba za kiwango cha chini sana..
  2. DAGAA WA MWANZA

    INAUZWA Low Power Consumption Microwave Oven On Sale

    Nahitaji pasonic tafadhari hapa Mwanza
  3. DAGAA WA MWANZA

    Banda la Chakula linauzwa

    Kula 500k, hujasema kwa siku unauza viazi debe aua gunia ngapi
  4. DAGAA WA MWANZA

    Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    Sawa mkuu, shukrani kwa ufafanuzi
  5. DAGAA WA MWANZA

    Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    Ndiyo hii redmi note 10 pro mkuu
  6. DAGAA WA MWANZA

    Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    Mbona now alie inauzwa mpaka 2mil Chief-Mkwawa ebu nitoe tongotongo mpaka nimeogopa mkuu
  7. DAGAA WA MWANZA

    Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    Nashukuru ingawa umeiongelea note 10 badala ya note 10 pro Chief-Mkwawa
  8. DAGAA WA MWANZA

    Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    Unaizungumziaje M51, Oppo reno5 na Redmi note 10 pro mkuu Chief-Mkwawa nataka nichukue moja kati ya hizo msaada tafadhari
  9. DAGAA WA MWANZA

    Nimekata tamaa ya maisha nahitaji msaada

    Ni bora ukaainisha ni msaada kama wa pesa kiasi gani?
  10. DAGAA WA MWANZA

    Tunauza Mashuka ya Cotton kwa bei nafuu

    Nimekutext hata hujibu text toka mwaka jana
  11. DAGAA WA MWANZA

    Kitanda kizuri kinauzwa 5*6, bila godoro

    Ukiwa tayari kwa bei yangu uniambie kabla hela haijapata matumizi mengine baada ya leo
  12. DAGAA WA MWANZA

    Kitanda kizuri kinauzwa 5*6, bila godoro

    Ni kwasababu kinasafirishwa to Mwanza ndiyo maana, nimetoa hiyo ofa please tumalize
  13. DAGAA WA MWANZA

    Kitanda kizuri kinauzwa 5*6, bila godoro

    Kuna 150 hapa sasa hivi nimtume mtu aje kukichukua, if yes biashara ifanyike leo hii
  14. DAGAA WA MWANZA

    Kitanda kizuri kinauzwa 5*6, bila godoro

    Sema tatizo ni bod
Back
Top Bottom