Recent content by DAGAA WA BUKU

  1. DAGAA WA BUKU

    JamiiForums Tanzania Unaishi nyumba ya kupanga unaruhusu mkeo avae hivi?

    Mtu asifue kwa kanga moko 😅😅😅
  2. DAGAA WA BUKU

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

    Hata sijui sahivi wale jamaa wako wap
  3. DAGAA WA BUKU

    JamiiForums Tanzania Kati ya NIT na MUST niende wapi?

    Nakushauri uende Must mimi nina marafiki zangu mmoja alisomaga Nit mwingine akasoma Must ila wa Must walionekana kule wako serious kidog kuliko wa Nit
  4. DAGAA WA BUKU

    JamiiForums Tanzania Siku chama pinzani wakichukua Nchi hawa Wasanii watahama Pia?

    Wengne watajipendekeza tu kuhamia chama kingine 😅😅
  5. DAGAA WA BUKU

    JamiiForums Tanzania Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

    Wengi humu ni age goo
  6. DAGAA WA BUKU

    JamiiForums Tanzania Football unites in

    Kwa kutokea msiba wa Diogo jota aliyekuwa ni mchezaji wa Liverpool nimeamini kwamba huu mchezo unaunganisha watu wengi sana huu mchezo unachukua nafasi kubwa kwenye maish
  7. DAGAA WA BUKU

    JamiiForums Tanzania Football unites people

    Jota kafanya niamini kuwa football au aina yeyote wa mchezo inaunganisha watu michezo inachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu
Back
Top Bottom