Acheni kupotosha jamii, hakuna Sheikh anaehubiri uchochezi,
Masheikh kuhoji fedha za kodi na rasimali za Taifa kupewa taasisi za wakristo peke yake ndio uchochezi?
Acheni propaganda za kishenzi hapa.
Haki ni kwa viumbe wote,mbona hampigi kelele dhulma wanazofanyiwa waislam na mikataba ya...
Ni kawaida ya baadhi ya Wakristo hapa Tanzania kukejeli viongozi Waislam, walifanya hivyo wakati wa Rais Mwinyi na sasa Kikwete, kumbukeni kwamba Tanzania ni ya raia wote wenye dini tofauti,hivyo sahauni kabisa kwamba mtaiongoza nchi Kikatoliki,anapokufa mkristo ndio kiongozi wa nchi ni dhaifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.