Recent content by Daenerys

  1. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyimbo za Wasafi wakimuimbia Magufuli hazifiki number 1 trending YouTube?

    😀😀😀Magu ni mchamungu hawa wengine nguvu nyeusi, mwanga na usiku havikai pamoja
  2. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Mtoto kanipa tunda kisela (Mrejesho wa naombeni mbinu zenu)

    Aaah wacha tuishie tu hapa
  3. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Mtoto kanipa tunda kisela (Mrejesho wa naombeni mbinu zenu)

    Huyu jamaa kakosea sana wakati anaandika uzi angetuconsult tupendekeze majina😀😀
  4. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Mtoto kanipa tunda kisela (Mrejesho wa naombeni mbinu zenu)

    Nilitamani utagiwe King wao😀😀😀
  5. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Mtoto kanipa tunda kisela (Mrejesho wa naombeni mbinu zenu)

    Hooii mimi😀😀😀
  6. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Tatizo laweza kuwa hili, wakati umeshampata mama mwenye mtoto huwa unazidisha mbwembwe kwenye kila kitu kinachomhusu mtoto, so mama anasoma zaidi ya aonavyo, anaanza kuwa na mashaka whether umempenda vile alivyo au unamwogizia, kwa kutokuwa na uhakika na majibu apatayo anaingiwa waoga na...
  7. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Never share your feeling with woman, never

    ok, Laskaboza na ID yako maana yake ni gani?
  8. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Never share your feeling with woman, never

    Mkuu nawe unapenda GOT?
  9. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Never share your feeling with woman, never

    coming on board sir, jukwaani by posting, hope hukuwa na tafsiri ingine mbaya.
  10. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Never share your feeling with woman, never

    nice stuffs😀😀keep on coming
  11. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Never share your feeling with woman, never

    sijaelewa chakoree
  12. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Never share your feeling with woman, never

    Vipi mkuu, sijaelewa nieleweshe privately,if don’t mind😀😀
  13. Daenerys

    JamiiForums Tanzania Never share your feeling with woman, never

    Mwanamme msimamo!! mwanamke wa shoka humfurahia mwanamme anayesimama na ‘The right thing’ Sababu anajua siku moja mume atalazimika kusimama naye, akiwa anayumbishwayumbishwa huweza kumtelekeza kiwepesi zaidi hata huyo aliyepo pindi akipata chungu kipya.
Back
Top Bottom