Recent content by Daema

  1. D

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

    Kama.unaendeshwa kwenye gari za left hand tegemea ubavu wa passenger kua right hand
  2. D

    JamiiForums Tanzania Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    We endelea na kazi kama mm maaana ndio atatambalia humo humo. Angekua JK hata kina mama wangepata nadharia zao
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wasomi waliofeli maisha ndio wanaoichukia CCM na serikali yake

    Mtoto wa Prof. PLO Lumumba
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wasomi waliofeli maisha ndio wanaoichukia CCM na serikali yake

    We umefanikiwa kwa kiwango gani mbona unatukana watz namna hii
  5. D

    JamiiForums Tanzania Are you married to your soulmate or dated one: Hugh Heffner

    Same I do.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ni Rais gani mwingine atatuachia hotuba zinazoishi kama za Mwl. Nyerere?

    Za Jakaya tu zinaishi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya maisha watanzania, tumemkosea nini Mungu?

    Kwetu tupo wanne wote tunadegree hatuna kazi dada zangu watatu wameamua kuolewa mie mvulana nimeamua kujitolea nipate hata experience tu kwa bei sawa na bure. Sina namna mpaka naona bora ningesoma gardening ningeajiliwa hotel za watu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi yanavunjika sababu wasichana wengi ni mabairi

    Mawazo yao yanatoka jioni kuja asubui ndio shida
  9. D

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Duh 2025 mbali lkn mmmh
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza ajira nafasi Jeshi ni 3000 kipaumbele waliopitia JKT

    Wapo askal wana degree zao baadae hufanyiwa usaili na kwenda kusoma uofisa bro siku izi profesional kawaida sana majeshini
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

    Dah umeiva kilichobaki ni kupakua tu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Tanzanian Leader's War for Taxes Puts Economy in Firing Line

    Barabaran penyewe hakuna pesa tunaendesha makini tusikamatwe elfu 30 usawa huu nuksi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yametimia ya Magufuli baki: Juma Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame

    Hata kama mungu asipomchukua miaka saba sio kama kunywa chai mayai
  14. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya gari iliyokwisha muda wake, inarejeshwa vipi

    Leseni iko kwenye system anaenda nayo tu pia kama ana driving certificate vizuri aende nayo maana ma vehicle saivi wanavunga wana morali na serikali elfu 40 ya kurenew inahusu
  15. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea ripoti za Bunge kuhusu Almasi na Tanzanite, awataka wateule wote waliotajwa wakae pembeni

    Wizara ya ujenzi na mkubwa mwenyew atakamatwa humo wishowe ziwe nullified bure na hizo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom