Recent content by Daegil

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga

    Dalali yoyote mwenye vyumba vikali (vina maji,umeme, security,gypsum/selingbod nzuri, karibu na barabara) maeneo ya ubungo external, mwananchi, Tabata na sehem yoyote iliyopo karibu na centre ya jiji bei isiyozid 50k. Ani DM
  2. D

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani yenye uhaba wa maji Dar es Salaam

    Shukrani Sana mkuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani yenye uhaba wa maji Dar es Salaam

    Shukran mzee nipo hapahapa dar, tatizo dar kubwa nikitajiwa mtaa ni rahis kwenda Sasa kucheck kiundani zaidi. Shukran mzee nitajitahid pia
  4. D

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani yenye uhaba wa maji Dar es Salaam

    Habari wakuu, Kama kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa ni mitaa gani hapa Dar es Salaam yenye shida ya maji? Naomba wadau kama mnajua sehemu ambazo maji ya kutumia (maji baridi) ni shida kupatikana kiasi cha kuwa wananunua kupitia yale magari yanayouza yale. Ningeomba hata bei wanazonunulia...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nachoka sana baada ya tendo la ndoa

    Mulemuleeeee umegusa hatamimi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Huo sasa msala chooni nitakuwa singalii Sana mpaka siku nitilie shaka
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Aaaaaaah aisee sijui nitawafanyaje hao
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Boss mipango yangu hiyo maana kila kitu kinaanza kwa kuwaza, kwahiyo nimewaza ivo mkuu. Nitavipata tu hata kwa uchache
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Nazipata wap izi CCTV za kwenye K, nipo tayari
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Hahaha niambie tu naweza zipata wap
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Ili watu wakijificha huko kugegedana niwaone pia.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Chooon na bafun mm mwenyew ninawasiwasi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Ahsante mkuu mbadala wake nifanyaje sasa mkuu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Mkuu nitafanikiwaje kwa wakwe hahaha, ila pia mimi sio mtu wa madem Yan nataka mke nikifubamba anafukuzwa anakuja mwingine system yaendelea
  15. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kukosolewa na kurekebishwa

    Haha kwanini mkuu nisipoweka hivo nahisi ndio nitakufa
Back
Top Bottom