Recent content by Dady-P

  1. Dady-P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo usio na tija, maumivu yake ni majuto

    Hakika
  2. Dady-P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Naungana na wewe kwenye hili
  3. Dady-P

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na kigali cha magazeti, Dar-Mbeya dakika 90

    Gharama za kuprint gazet la elfu moja ni kubwa sana kama itafinyika kila mikoa. Labda wapandishe bei magazeti lasivyo itakua hasara tu. Matangazo yenyewe kwenye magazeti sio mengi kivile.
  4. Dady-P

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na kigali cha magazeti, Dar-Mbeya dakika 90

    kwakua ni kigali siwezi kukubishia kwakua ndo kwanza navisikia hivyo vigali
  5. Dady-P

    JamiiForums Tanzania Inahuzunisha! Hili ni jengo lililogharimu kiasi cha mil. 13 kweli?

    Hii ndio bongo,yani hata ukikajenga kwa kutumia mkanda wa nondo na zege mpaka juu bado haifiki labda cement isichanganywe na mchanga kabisa itumike hivyohivyo. Nadhani fundi itakua alitoka nchi za nje, ndo maana ikafikia hivyo.
  6. Dady-P

    JamiiForums Tanzania Nilidanganya umri ukweni sasa penzi limekolea nachomokaje?

    kikubwa binti anakupenda
  7. Dady-P

    JamiiForums Tanzania Hivi haya majina ya vitu vipya kwa Kiswahili nani huwa anatunga?

    drone ni ndege isiyo na rubani😆
  8. Dady-P

    JamiiForums Tanzania Hivi haya majina ya vitu vipya kwa Kiswahili nani huwa anatunga?

    Juice ni sharubati na sio kinywaji tamu😆
  9. Dady-P

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Ufisadi atinga TAKUKURU na gari la Jeshi

    Shida Tanzania ukiwa na cheo, vitu kama hivyo unachomoka tu
Back
Top Bottom