Recent content by Dady Joh

  1. D

    JamiiForums Tanzania Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

    😀 unataka umuagizie mkuu?!
  2. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Kwa siku wanavuka watu 5,000, unadhani wanaondoka na kiasi gani mkuu?!
  3. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Bado watu wanapita darajani mkuu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kufanya biashara na mwanamke?? Kumfungulia biashara yake au Biashara yako yeye ndo asimamie?

    Aisee 😂😂😂😂😂, huu msisitizo ulivyo basi kuna jambo limekukuta mkuu, pole.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kutunza pesa

    Ohoooo
  6. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi, Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi...
Back
Top Bottom