Recent content by dadam

  1. dadam

    Statistician anatakiwa haraka

    Ni ya organisation!! Consultation/ not a long term employment!! So hata kama mtu anafanya kazi sehemu nyingine poa tu!!!
  2. dadam

    Statistician anatakiwa haraka

    Statistician needed to play a key role in secondary analysis of data and Prepare statistical tables and analysis for all secondary analysis performed by The team!! Call or Sms +255 763 790 448!
  3. dadam

    William Malecela na Ajali za Kisiasa

    Punguza kuhudhuria kumbi za starehe na kuzunguka na wadada zetu, pengine watakuona wa maana hAPA UMENENA...ILA NAE WALEWALE TU WANAOTAFUTA NJIA ZA KUJINUFAISHA... MWANA SI HASA HUYU. IN SHORT MI NAONA HAFAI KUA KIONGOZI
  4. dadam

    ndoa kamaa hii nan ataikubali?

    Mimi nina mtazamo tofauti: Kwanza, kupata ugonjwa wa akili hakuchagui umri. mtu anaweza kupata tatizo hilo wakati wowote. linaweza kuwa kwa sababu nyingi kama brain trauma, meningitis na nyingine nyingi. Tatizo ninaloliona hapa ni kua 1. watanzania akili zetu zina imani za kishirikina...
  5. dadam

    Mwanaume kumpa au kutompa pesa mpenzi wake

    umenena kaka..i support this 100%
  6. dadam

    Mwanaume kumpa au kutompa pesa mpenzi wake

    haya baba..asante..
  7. dadam

    Mwanaume kumpa au kutompa pesa mpenzi wake

    Habari Za Jioni wana JF. Naomba mawazo yenu ktk hili. Hivi, katika mahusiano mwanaume kumpa mwanamke hela ina maana gani???? hasa wanaume naomba mnisaidie. Je ukiwa kama mwanaume, una girlfriend ambaye kipato chake na chako vinafanana utampa hela at any point??? kama ndio kwanini kama hapana...
  8. dadam

    Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

    Quake off Indonesia triggers tsunami alert - CNN.com
  9. dadam

    Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

    Quake off Indonesia triggers tsunami alert - CNN.com. sasa nimeelewa
  10. dadam

    Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

    nasikia kuna hatari ya tsunami dar..wanajamii tunaomba updates
  11. dadam

    Hair on men chest...

    Mwanaume Love garden Bwana..Nywele za kifua zina raha yake. mwanaume asipokua na ndevu hapendezi nitamtofautishaje na mimi sasa???? kunako mahabbah kuna rahha ya kuchezea hiyo kitu bhanna..inaleta usingizi mtamuuuuuuuuu
  12. dadam

    Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

    najiamini..nitampata, ila wewe siwezi kwa sababu mie ni mweupe, japo sio sana ila sio chocolate colour. Pia sura yangu ni ya duara and i think ni pana
  13. dadam

    Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

    anajua how to do it nicely, romantic and emotionally
Back
Top Bottom