Umeongea point saana chris mauki utakuta mwanaume mwengine kazi yake kukusisitiza mnaonana lini ili ale mzigo ukimwambia naomba unisaidie anasema mambo yangu hayajakaa vizuri inapita miezi lakini kutaka kuonana nawewe yupo radhi atoe chochote kile ila kukusaidia wewe hata kama unatatizo hatoi...
Binafsi naona hawatendi haki hata kidogo kwasababu sehem zingine wanazobomoa ni zaidi ya mita60 utakuta sehem labda mita150 na zaidi lakini bado wanabomoa wanatakiwa watende haki kabla ya kubomoa wanatakiwa wapime wajue hii sehem sahihi au hapana hao wanabomoa bomoa sio haki kabisa wanawaonea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.