Recent content by dadaake

  1. dadaake

    JamiiForums Tanzania Saa nzuri kabisa kuanzia Mtoto wa Miaka 9-18 na ni imara

    Niko mwanza napataje
  2. dadaake

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Na wachina ni washenzi mnoo kwenye malipooo hawalipiii
  3. dadaake

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Hio unasikia tayar umeshafeliii
  4. dadaake

    JamiiForums Tanzania USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

    Tutumie nn ili tuongeze kinga ya mwili
  5. dadaake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

    Unakuta waliotenda huo unyama wanahonga wanatokaaa,wkt hao watu ni wakupiga chuma kichwan Waendelee kupokea rushwa tu ipo siku watabaka na watoto wao na wake/waume zao
  6. dadaake

    JamiiForums Tanzania Unalipi la kusema juu ya mtandao wa YAS

    Mambo ya kawaida hayo hayahitaji ht kuanzishiwa uzi,,,watumiaji bado tupo tumeizoeaaa ht waaiite No bado tutakuwepo
  7. dadaake

    JamiiForums Tanzania Idea mbalimbali za biashara kwa wenye mitaji mikubwa kuanzia Milioni 100 hadi 500

    Ni belo gani la mitumba linafaida na nguo zake ni quality
  8. dadaake

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi hakuna majambazi?

    Nimechekaaa km mazuri hahahaahaha
  9. dadaake

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Kwa hali hii maamuzi ya kuuza nyumba yatakuwa sahihi?

    Braza umesema una eneo kubwaa,huna kabisaa ht pesa ya kias uanze kufuga kuku wa nyama wale wa week 3 waza tena plz NYUMBA ISIUZWE
  10. dadaake

    JamiiForums Tanzania Mnishauri, nahitaji kuacha ajira Serikalini ili nisimamie biashara zangu

    Laki 5 na uko mbali na familia yako,dogo acha kazi pambanaaaaa kwa mishe zako kwa jasho na damu,jitoe haswa utaona mafaniko usichague shughuli ya kufanya kuwa muamimifu
  11. dadaake

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

    Mm pia nasubiria maelekezo juu ya ili swali ila kuna watu hapo wanajadili sijui ishu gan tunakosa ht mtililiko mzuri wa mada
  12. dadaake

    JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii, Airtel nao wamepunguza Kamisheni kwenye miamala

    Hii asilimia 10 mbona iko zaman sana ama ww ni wakala mpyaa,kote mpk mabank kamishen zikitoka wanakata 10 asilimia ya kodi
  13. dadaake

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Tafutaa eneo la sokon omba kinafasi weka jiko kaanga mihogo mziru mikubwa pilipili nzuri ya kutsoha Kuwa msafi na mkarimu Tengeneza crips nzuri,karanga za mayai ama vikokoto omba madukan uuze ama kaa stend na sinia lako jion ukiwa msafi uza Hakikisha u msafi wa kinywa na mwili Zingatiaa bei...
  14. dadaake

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Mdogowangu mpenziii Km huna Aibu anza kupika vitumbua jion vzr kabisa,tafutaa site nzuri yenye kuonekana lipia ht elfu 1 kwa siku Nakuomba sana usiuze bei kubwa weka bei nzuri ht wanafunzi waweze nunua kwa wingi Nakusihi usione Aibu km umeamua kufanya biashara basi jitoe haswa,mwaka wa 6 huu...
Back
Top Bottom