Hilo zoezi la kua na Building Permit ndio limeanza sasa, hapa majirani zangu hakuna mwenye hiyo permit ila naona wameziangalia nyumba mpya tu kama ni ya zamani hawatoi hiyo notice, nitakwenda nijue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini za jioni,
Hapa nilipo nimechanganyikiwa kwa kweli. Mimi ni mkazi wa Kisewe-Temeke. Nimerudi mihangaikoni nimekuta barua ya kudaiwa kibali cha ujenzi,niliponunua kiwanja nilijaribu kuuliza serikali za mitaa kama kuna utaratibu wa kua na kibali cha ujenzi kabla hujajenga wakaniambia...
Hao kuku hawali? Hawaumwi? Hawapewi huduma muhimu kama banda la kuishi lililo imara na mfugaji mwenye ujuzi wa kufuga
Acheni kudanganya watu nyinyi wehu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha tu,kwangu mimi wanaume wengine wote nawaona kama kaka zangu hakuna jambo litanipa ugumu kama siku ikitokea kuachana na huyu Bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaweza kua ila kwa kukaa kwa muda mrefu hii si Mara ya kwanza maana mwenzangu alipata nafasi ya kusoma ng'ambo na hukaa huko na kurudi apatapo nafasi japo amemaliza sasa kilichompeleka na alikua akirudi tunakutana bila hali hii kunitokea na ndio sababu ya kutishika kwangu na hali iliyonitokea...
Kama ni mimba ni heri tu,wala sitaitoa maana hautakua uzazi wa kwanza na itakua ni baraka kwetu ila kwa kweli hiyo hali imenishtua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.