Recent content by Da_Hustler

  1. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Ule upendo wa kweli bado upo?

    Upo shida mme leta illusion, za ujinga unaitwa Feminism na nyie hamjawahi jua amani, saa zote mmna taka vurugu ah hembu mtupumzishe na ujinga wenu!!!
  2. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

    Ahsante
  3. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

    Mwanaume
  4. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

    Ahsante Master, ntaishi hapa
  5. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

    Ahsante
  6. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

    😜😂 Unajua hata mood ya kutrade Asian range imeisha, ucngizi sina nazingua tu hapa
  7. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

    Maishani mwangu sijawahi jivunia upuuzi!! Some says a star sign ndio sababu, ila sijawahi kuwa hard to love nadhani I'm always all in na najikuta nakuwa a standard na bahati mbaya nusu ya watu wangu tuliowahi date were broken to begin with, wengi huwa hawaamini upendo I offered till I'm gone...
  8. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

    Uko sahihi mm mwenyewe waliniziba matukio mara 2 cna ham nao, halafu mfano hai Air Tanzania wana route karibu 120 na wana ndege 16 tu zinafanyiwa service serious saa ngapi?
  9. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Niwaambie ukweli mchungu au mapambio kuwafurahisha maana hamkawii kudai mnatukanwa!!
  10. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Polisi Bariadi wafafanua video ya Askari na Bodaboda aliyekuwa na Magunia ya Alizeti

    Nauina uvivu wa kufikiri na matumizi nguvu bila akili video inaonyesha mtu akisukuma gunia mtaroni, ni mm ndio sioni vizuri au halafu huo muda wa kuhangaishana nae mpaka mnapata na muda wa kubeba nakusogeza mtaroni huo mwenge kama wa kupita, uko wapi? Ushauri napendekeza hawa jamaa waanze...
  11. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Kombora Jericho likiandaliwa rasmi tayari kwa kazi huko Iran!!

    Bro uliza wenyeji!!!
  12. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa watu wameuziwa udongo kikombe Tsh 10,000 kwenye Mkesha Usiosahalika kwa Mwamposa

    Sio kweli!! : Halafu jamani Dini ni kama Bangi kila mtu ana stim zake!!
  13. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Safari hii Iran lazima anyooshe maelezo kwa Trump!!

    Nilisema naomba nirudie! Iran unaoijua ww na unayohadithiwa ww na media za magharibi!! Na Iran halisi ni nchi mbili tofauti sana!! Speaking from Experience tu, ya wahusika na back up ya washkaji zao! North Korea, Russia, n China na wanapeana kila kitu mpaka Technology, Achana na hao maarufu...
  14. Da_Hustler

    JamiiForums Tanzania Meli ya kubeba mafuta yenye bendera ya Tanzania, MT ASANA, imetekwa nyara

    Guys kuna any Update imeachiwa, wamelipwa au wameenda ikomboa?
Back
Top Bottom