Recent content by da45king

  1. da45king

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo nimekua nikiutafuta kwa miaka na mikaka. Ulikua na maadhi ya kizanzibar jina “Mpende wote” mwenye kuufahamu au mwenye nao ulitoka around 2000s
  2. da45king

    Yapi Merkezi anasimama pia lot 3 kutoka Makutupora hadi Tabora?

    Bado kama taifa tuna hali ngumu sana, hizi mambo za mama anaupiga mwingi ila kwa ground mambo ni tofauti sana.
  3. da45king

    Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

    Kataa hilo pepo ndugu, ukiliendekeza utajitoa kweli uhai wako. Jichanganye na watu, tafuta sehem zilizo changamka kwa muda wako wa mapumziko Epuka sana kukaa pekeako, Ongea na mtu wako wakaribu kuhusu yanayo kusibu, kataa hilo pepo.
  4. da45king

    Nawezaje kuiokoa familia yangu na mateso ya jini huyu?

    Issue sio nyumba. Nimesha hama sana mkuu
  5. da45king

    Nawezaje kuiokoa familia yangu na mateso ya jini huyu?

    Kusoma Ilipoanzia Sehemu ya Pili ----- "NITAFUPISHA HAPA, IKUMBUKWE HII NI STORI YA MAISHA YANGU KABISA KWA MUDA WA MIAKA 7, NIMEKUA NIKUZUNGUKA HUKU NA KULE KUTAFUTA MSAADA KWA KIPINDI HIKO CHOTE. NILITAMANI KUELEZEA KILA STAGE NILIYOPITIA ILI MWENYE UWEZO WAKUSAIDIA MAWAZO AJUE NIWAPI...
  6. da45king

    Nawezaje kuiokoa familia yangu na mateso ya jini huyu?

    Ilipoanzia fungua kiungo Sehemu ya kwanza --------- Baada ya kutoka hospital tulirejea nyumbani, na maisha yetu yakaendelea kama kawaida, nikaendelea kupigwa matukio kila siku, nikayumba sana kiuchumi. Alikuja mzee mmoja wa kisukuma huwa na fahamiana nae kwa muda akaniambia niende nyumbani...
  7. da45king

    Nawezaje kuiokoa familia yangu na mateso ya jini huyu?

    Ndo narejea nyumbani taendeleza
  8. da45king

    Nawezaje kuiokoa familia yangu na mateso ya jini huyu?

    Sijawahi Jihusisha na mambo hayo.
  9. da45king

    Nawezaje kuiokoa familia yangu na mateso ya jini huyu?

    Naitwa Ododi 35yrs Mkazi wa Kimara Korogwe. Nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 6 nimebahatika kupata mtoto 1 ambae anafikisha mwaka mmoja tangu kuzaliwa na kuja kwenye hii dunia yetu ukiachana na wengine 7 ambao wapo kwenye ulimwengu mwingine. Najua unaweza usinielewe nikisema ulimwengu...
Back
Top Bottom