We fuatilia mahojiano alivyofanya kwenye lavi davi ya diva tena kawekwa kwenye bango kabisa mtoto wa kiume anatamba kabisa eti nina lips nzuri maaamaaeeee kashaharibiwa na yule muuza sura mwenzake Hemed chande wanaleta uzuri wakati wenzao kina Othman na Isarito wanavuka boda kwenye tamthilia...
Watunzi wa Huba ni wakenya ambao ni mwanahabari Rashid Abdallah, Zara Mwangi na kuna mwandishi mwingine alikuwaga anaitwa Ibrahim Chitayi wakishirikiana na waandishi wengine kutoka kenya na producer ni lulu hassan ambaye mmewe ni Rashid. Kiukweli Huba ndio baba wa tamthilia zote unazoziona...
Habari wadau,naomba msaada juu ya kuondoa black sports kwa mtoto ambaye alikumbwa na tetekuwanga na pia dawa ya majipu ambayo yanakuwa reddish in colour.
Habari wadau,
Mwenza wangu analalamika maumivu ya tumbo baada ya kujifungua kwa muda mrefu sasa takribani miezi 8 sasa
Anasema ni ule upande ambao mtoto alikuwa analalia akiwa tumboni kuna maumivu fulani hivi ambayo huja na kuondoka
Sasa sijui tatizo ni nini?
Naomba msaada
Sent using Jamii...
Hi, wadau
Kuna bibi yangu anasema akimeza chakula kuna kitu kama kinamkwama kooni hiv, je ni tatzo gani hili au ni vidonda kooni?
Tafadhali naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative? Mbna kila kipindi au mradi wanakopi? Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup Block 89-fnl, Wasafi festival-fiesta, Superwoman-malkia wa nguvu, Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e
Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli. Hata tv yao...
Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative?
Mbna kila kipindi au mradi wanakopi?
Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup
Block 89-fnl
Wasafi festival-fiesta
Superwoman-malkia wa nguvu
Sports arena-e sports
Refresh-e news/clouds e
Ifike pahala waache huu upuuzi, wanaboa kiukweli
Hata tv yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.