..Weweeee, usiseme hakuna! we research yako umeifanyia wap mpaka unasema eti lazima mtu awe addicted kwenye hizo mambo tatu........ kwa taarifa yako mimi cjawa addicted kokote... RUDI UKAFANYE UTAFITI... mawazo tu lakini!!!
... we ulikua unatafuta status ya kuoa mtu mwenye elimu na ukaacha penzi la kweli lipeperuke afu unasingizia mapepo. acha hizo wewe..... waweza fanya COST AND BENEFIT ANALYSIS ya mke wako huyu msomi....
Ungesema kwanza we ni kabila gani... Kama we "muhaya" i hav no comment, maana nawaelewa sana wahaya kwa swagger zao za pesa hawajambo..... "watakwambia tu, mimi iko pesa wewe".......... Ila pia sio tabia nzuri kivile..
Sista! ki ukweli waweza jua binadamu tunauwezo mkubwa sana wa kupambanua na hata kwa kiasi Fulani mambo ya baadaye, sema tatizo linatokana na tamaa na mihemko ya mda mfupi. But, for sure! tunaweza jua kabisa kama penzi hili ni la kweli au lah!.... mfano mdogo tu sista, ni mara ngapi umefanya...
Nyerere inawezekana ukawa sahihi kwa upande mmoja... ila kumbuka nadharia mara nyingi ndio huwa haswaa inajenga umbo la nje...... hata gari lilianza kuundwa kutoka kwenye nadharia. Kuwa na nadharia ni mwanzo mzuri, vivyo hivo katika mapenzi. kuwa na nadharia nyingi kichwani kunaweza saidia kwa...
Imekua ni kawaida sana katika jamii yetu kuskia vioja vitokanavyo na mapenzi: mara utaskia "anywa sumu, ajinyonga" na mengineyo yanayochukiza ambayo hayaleti haiba nzuri kwa jamii haswa kwa vijana ambao ndio hasa msingi wa Tanzania yetu ya kesho... Nikiingia kwenye mzizi wa mada yangu hii, moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.