Usiwaze mkuu!
Nenda kwenye chuo ulichopangiwa hapo awali, waombe wakupe barua ya kuonesha wewe sio mwanafunzi wao kulingana na sababu iliyokufanya ukaacha chuo kisha jaza form ya TCU ambayo wametoa kwa ajili ya case hyo then itume kama walivyoelekeza.
Nimekuwekea hapo form ya TCU unaweza ipata...
Simply ni wallet ambayo unaweza store bitcoins na kufanya other transactions kama ku receive bitcoins na kutoa bitcoins. Haina tofaut sana na hizi mobile pesa kama mpesa na nyngne za hapa bongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ilivyo tatizo la ELIMU, ELIMU, ELIMU tunahitaji tupate MBADALA, MBADALA, MBADALA uliopikika kikamilifu na wenye kujitosheleza naamini hatutowachagua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.