Hata mimi najiuliza mana na mimi ni muhanga mtuelekeze na sisi ayo maujuziHawa watu walioapply kipindi cha nyuma wanaona wapi majina yao kwamba jina linaonekana kwenye chuo kingine?TCU au chuo alichopangiwa sasa?Maana mimemwombea mtua na alipangiwa chuo mwaka jana na mwaka huu pia kapata na hajaambiwa vyovyote na Tcu