Recent content by d3j4vu

  1. d3j4vu

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa zamani kuna haya. Je, ulishawahi kukutana nayo?

    Deication song unaandika kwa chini ya barua af mshadhali [emoji15] Afu barua nyingi zinaanza na "hofu kwako ulie mbali na upeo wa macho yangu"
  2. d3j4vu

    JamiiForums Tanzania Mlioolewa mnawezaje kufanya haya?

    Ukifikisha miaka 30+ usije toa tangazo humu unatafta mume[emoji3] wa kuishi nae
  3. d3j4vu

    JamiiForums Tanzania Gwajima amwaga cheche, amshauri Rais Magufuli ahame chama kama CCM wakimnyima Uenyekiti wa chama

    Siasa na kanisa mh waumini wake wafkirie maamuzi ya kusali kwa gwajima[emoji17]
  4. d3j4vu

    JamiiForums Tanzania Tamko la ACT-Wazalendo baada ya Kongamano lao kuzuiwa na Polisi

    kuna sauti zinajirudia kichwani kwangu zile za wakati wa kampeni "jeshi la polisi hoyeee" Wananchi hoye Turns out ni kiminyo tu daah
  5. d3j4vu

    JamiiForums Tanzania Ni Upi mtazamo wa KANISA KATOLIKI katika Jambo hili la Ushoga na Ndoa za Jinsia Moja

    Mkuu kosa mwingine halisababishi wewe ufanye kosa na uwe sawa Kuna njia nyingi tu za kukabili matatizo
Back
Top Bottom