Tunapoelekea kumiliki gari Tanzania ni rahisi kuliko kumiliki nyumba, nyumba unakodi ya ardhi, kodi ya jengo na kodi ya kupangisha,mbaya zaidi watakuja na rate za juu kila mtu akimbie,angalizo kodi siku zote huwa analipa mlaji wa mwisho, so ile kauli ya raisi wa wanyonge inawezekana isitimie...
maana yake ni selling rate ni 22.49 and buying rate ni 22.67 , sasa chukua 170x22.67=3854
kwahyo 3,854>2,000
kaka ulikimbia umande mapema sana hizi hesabu za std 4, then unatumia simu janja hata kuggogle hauwezi?
kweli hiki kizazi cha instagram na facebook tabu sana,mchana mwema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.