Preta wazungu wajanja.Ndege kutua heathrow kuna standard zao..kama ndege ni used kama air-Tanzania ambazo hata service ni kusuasua hairuhusiwi kutua maana wanahofia kulipuka..Labda tuwe na ndege za kueleweka ndo kitu kitatua kwa bibi.
Aisee natamani sana siku nione kitu cha air-Tanzania huku...
Kipesi na Bobby kila nikituma PM inazingua inasema mpaka niwe na 5 posts.mambo yakikaa vizuri nitawa pm. Lucky Saba saba thanx mkuu sema biashara ya daladala ni pasua kichwa aisee bora uumize kwenye scania ambayo faida yake ni kubwa kidogo
Asalaam aleikum wanafamilia wa jamii forum.Leo na mimi naomba kuelewesha ni model ipi ya scania itakayoweza kupiga mzigo masafa marefu bila usumbufu na wala kulemewa..Scania 94m,113 na 124. Kwa huku uk model za 94m( kidogo ziko chini sana cjui ubora wake usikute hazina nguvu.
Naomba mwenye...
Asalaam aleikum wanafamilia wa Jamii Forums. Leo na mimi nina swali kidogo naomba mwenye uzoefu wa Scania anijuze kidogo. Kuna tofauti gani kati ya hizo Scania hapo juu? Na je kwa kusafirisha mizigo from Mwanza to Dar atleast 3 times a week ipi ambayo itamudu mikiki ya barabara zetu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.