Recent content by D-nice

  1. D

    JamiiForums Tanzania How to use JamiiForums effectively

    Wadau eeh! wajameni mm kuna vitu zinanichanganya kidogo naombeni maelekezo. Kwani nini tofauti ya pass ya kusafiria na visa? utofauti wa matumizi kama upo? valid durations and kwa ajili ya safari za nje ya nchi ninahitajika kuwa na docs. zipi? Thanks.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Mwanza mambo yanazidi kupamba moto.

    waacheni watukane nadhani labda ndo sera mpya ya chama.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete angekuwa anatoa maamuzi magumu tusingefika hapa

    Mimi nadhani kuwa katiba yetu ndo imelega, pamoja na maamuzi magumu anayopaswa kuchukua raisi kwanza huanzia kwenye katiba. ama mnasemaje wadau?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hello!

    Wenyeji mpo? hodi mpaka ndani.
Back
Top Bottom