Hili ni pigo kwetu walemavu,katutoka ktk kipindi ambacho jamii ili anza kuelewe kuwa walemavu wanamchango mkubwa sana katika ili taifa ilimradi tu,wakipewa nafasi na kuaminiwa.Poleni sana wanafamilia wa da Regia,daima muwe mfano wa kuigwa kwenye jamii hii ambayo bado inajua ulemavu ndo mwisho...