Recent content by Cytotoxic

  1. C

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa mashabiki wa Yanga ni mdogo sana

    Kolo bhanaaaa, hata kama tulitukanwa na Morrison, na Manara, sie fresh tuu, kwani wewe unaumiaje?? ...Na je unateseka ukiwa hapo madukani kariakoo sio? Endelea kuteseka tuuuu na umbumbumbu (kwa mujibu wa mzee Rage)
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna Muafrika anayeweza kukataa ofa Ulaya, Bigirimana kawadanganye wasiokujua

    Muelezee mkia huyo. Anadhani ulaya ni kila kitu. Hajui maisha yalivyo expensive huko hata kama unapata mamilioni, mlolongo wa kodi huwa unaumiza sana
  3. C

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

    Ni kweli kabisa. Aende kumtafuta daktari bingwa wa mfumo/njia ya mkojo (UROLOGIST) atamsaidia sana.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Matiyasi FC ya Afrika Kusini yafungiwa maisha kwa kushinda goli 59 katika mechi moja

    Unaota nn? Labda Yanga ya Nanjilinji
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

    Yes mkuu, tangu mwaka jana ABC walianza route za Nyanda za juu kusini
  6. C

    JamiiForums Tanzania Morrison adaiwa kurejea Yanga

    Ukweli mtupu mtani...😊😊😊
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Bunge limeshapokea Barua ya kufukuzwa kina Mdee na wenzake 18

    ...Mkuu, unaposema "tunahitaji" je ni wewe na nani? Unamwakilisha nani yani?
  8. C

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

    ... Mkuu, hujamjuaga tuu huyu chupli? Majina yake humu ni haya; Gentamicin=Mightier=Diplomatic son na mengineyo nita-share baadae
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kuamua Kuwa Mdhamini Mwenza wa Ligi ya NBC, Ilikuwa ni Kutaka kupooza Machungu ya Kushindwa Kesi dhidi ya Morrison na si Vinginevyo

    Acha upopoma na umbumbumbu, kwa taarifa yako na makolo wengine wote, tff ndo waliifuata kampuni ya GSM na kuomba udhamini.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Presha yawa kubwa kwa Luis Miquissone, benchi lamtesa, Simba watajwa, wadau Al Ahly waja juu

    ...mkuu, nmezoea kuona ukiandika ki-italic...😊😊😊
  11. C

    JamiiForums Tanzania Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

    ...mpaka mwekezaji wa mchongoooo...😊😊😊
  12. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

    ...Mkuu Gily, nicheki pm nkupe number ya jamaa ambaye nahisi anazo
  13. C

    JamiiForums Tanzania Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

    ...ya Amos ni GUGU mkuu....😊😊
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Tarehe 13/04/2022 Mwalimu Nyerere atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake!

    ... Hebu nisaidie kushangaa ndugu yangu..Eti atatimiza, kwani bado yuko hai??? Watu wengine bhana...🤔🤔
Back
Top Bottom