"Usiwachukie waliokukacha, ni ulimbukeni na ndoto zao za alinacha" - Roho 7
"Hata niwe kipofu ntaandika kila kitu, MaRapper wabovu ndo huwa wanasifika kila siku" - Songa
"Wanataka niache ngumu nibane pua, ninyoe kiduku ndo niwe msanii wanaemtambua" - One
"Na speak truth, kwamba mwamba...
Mkuu data we hata ukifuta kwenye recycle bin, huwa kuna uwezekano wakuzirudisha, tena mkubwa tu unless umepata watu wenye uwezo huo with good forensic tools.
FBI jiulize huwa wanafanyaje kurecover data zako zakwenye hdd kama ulizifuta within a month or year tena wataweza kujua ulichomeka...
Mkuu ni kosa lako mwenyewe kuwa na facebook account.
btw
hilo tatizo linatokana application inayojiauthorize kupost videos au picha kila baada ya dk flani.
Wengi ambao hukumbana na tatizo hili ni wale wanaotafuta ku increase number of likers ktk website ambazo baadae zinaweka apps kwenye...
Unapofanya hivyo ukiwa unajua kwamba mtu anaweza Copy tena kiurahisi ujue unapoteza tu muda.
Mfano sites wanazozuia access ya source code, mtu anapotafuta njia yakuweza copy content za site, ataona na njia nyingine za kulaunch Dos or etc nakushawishika.
Site kubwa kama facebook wanaacha tu...
Ingia playstore kama umeiacha kwenye simu yako,
then download application inaitwa Copyleft music MP3 au download HAPA kama ume allow installation ya third party apps
utaeza download nyimbo za aina zote hata za hawa wabongo.
Regard Cysthe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.