Recent content by Cyriacus Kakira

  1. C

    KERO Kuharibika kwa miundombinu ya umeme na ucheleweshwaji wa utatuzi wa dharura Bagamoyo

    Ni jambo la kushangaza, hii nguzo iko hivi, siku ya nne inaisha, inaenda siku ya tano, nguzo hii imelala hivi! Je, wahusika wa kutatua dharura za miundombinu ya umeme mjini Bagamoyo hawajaona? Au je, hawajui umuhimu wa kurekebisha tatizo kama hili haraka? Ushauri wangu: Si busara kusubiri...
  2. C

    KWELI Argentina iliua na kuondoa kizazi cha watu weusi ili kulinda kizazi cha watu weupe

    Naam! Ni hivyo, na nadhani viongozi wa enzi hizo wa Argentina waliona mbali sana!
  3. C

    Mbadala ni huu hapa

    Hii nimeikubali sana ndugu yangu! Iko poa sana na inapiga kazi! AHSANTE SANA🙏
Back
Top Bottom